wanajamvi salaam...
mimi ni mkulima mdogo wa mbogamboga.... sasa huku kwetu(G/mboto) baada ya mvua kuisha mbegu za mchicha zimekua adim sana... baadhi tumeenda mpaka buguruni na bado hakuna mbegu....
sasa je, ni sehem gan naweza kupata mbegu hizo?