Habari watu wa jamii forums, katika kuperuzi mitandao nikaona kwenye mtandao wa youtube ufugaji wa kuku wa kisasa kwa kuwaweka kwenye cage, yaani ufugaji huu ni wa ufanisi wa juu kweli.
Hata kuku hawaezi kutapanya chakula wala kula mayai, nataka nijaribu kufanya lakini sijui hizi cage wanaziuza wapi, zinaitwa layer cages kwa anayejua naomba msaada, au mniambie maduka makubwa ya pembejeo za ufugaji wa kuku.
Shukrani.