Urbun Food Project ni aina ya mradi ambao unamanufaa kwa wakazi wa mijini.Nivyema tukatumia maeneo madogo tuliyonayo kuzalisha chakula salama na kwa tija pia.Lengo ni kutumia maeneo madogo ya mijini kufanya kilimo biashara.Faida za aina aina hii ya kilimo ni.
1..Unatumia eneo dogo sana ilankupata mazao mengi na bora.
View attachment 350340
2..Matumizi ya maji ni kidogo kulingana na aina yenyewe ya kilimo.
View attachment 350341
3..Unapata organic food maana hautumii mbolea...
Urbun food project"Tujiandae kutumia maeneo madogo kwa kilimo