Wadau naomba kupata msaada wa soko la muhogo. Nimelima muhogo natarajia kuanza kuvuna mwezi wa sita na wa saba. Shida Yangu ni kupata soko ambalo litaniwezesha kuuza kwa pamoja.
↧