Habari?
Aise natafuta kampuni reliable (isiyo na magumashi) wanaoweza kunitengenezea green house. Kama wewe ni muhusika au unamfahamu muhusika au kampuni nijulishe kupitia 0713158779 au PM. Kazi ni mwanza. Asante.