Habari ndugu zangu.... Mimi nimeingia kwenye kilimo. Sasa natayarisha shamba kwaajili ys kupanda nyanya, tafadhali naomba msaada kwa ambaye ameshatumia mbegu za ANNA. Je, ni kweli zinazaa miezi nane mfululizo?
Na kuhusu soko, mnanishauri vipi nitafute madalali au niuze mwenyewe maana kuna nishatafuta soko kwa watu wa vibanda na kuna wateja ninao tayar. Naomba msaada wenu tafadhali. (Nipo Dar, shamba lipo Mkuranga)