Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Uzoefu M-Pesa, Tigopesa tafadhali

$
0
0
Naombeni msaada wakuu,nahitaji kuanzisha biashara ya mpesa na tigo pesa.Mwenye uzoefu na biashara hii naombeni anijuze yafuatayo
1.Jinsi ya kupata line hizo
2.Je ni mtaji at least wa shs ngapi nikianza nao nitaweza kuendesha biashara kiufasaha bila kusuasua
3.Vitu gani niwe navyo vinavohitajika mf leseni,tin no
4.Faida inavohesabiwa kwa mwezi naamisha calculation zao wanafanyaje?
Asanteni hope nitapata ushirikiano wakuu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>