siku chache zilizopita nilienda pale Balton (njia ya Coca cola Dar) kufuatilia agricultural inputs mbalimbali, bahati nzuri nilikutana na mzee mmoja ambaye tuliongea mengi sana. Mojawapo ya kssue tuliyoongea ni upandaji wa miti kibiashara- yeye alinieleza kuwa anapanda miti aina ya mifudufudu kwa kitaalamu unaitwa Gmelina Arhobea (white teak). maelezo yake yapo hapa http://www.winrock.org/fnrm/factnet/factpub/FACTSH/Gmelina%20arborea1.pdf ...
Kilimo: Miti aina ya mifudufudu
Kilimo: Miti aina ya mifudufudu