Salaam wakuu, binafsi nimekuwa na wazo la kufungua duka la hardware jijini Mwanza katika maeneo ambayo mji ndio unajengeka. Je, nitawezaje kupata reliable source nzuri ya mahitajio/bidhaa ili nami nijipatie faida, je ni biashara inayoweza kunilipa? Kwa wale wazoefu, ni mtaji kiasi gani unaoweza kuhitajika?
↧