Habari,kwa sasa nipo kikazi kanda ya ziwa,kwa anaetaka tuonane anaweza akawasiliana nami kwa simu namba 0784413039.Natarajia kurudi Dsm siku ya ijumaa.
Mikoa ninayotembelea ni Mara,Mwanza,na bukoba.
Hivi sasa niko karagwe.
Nimeoenda niwataarifu kwakuwa napata sana simu kutoka mikoa hii kuomba niwatembelee kwa ushauri ktk ufugaji kuku,na mashine za kutotoleshea.
Asanteni.