Wadau za wikiend?
Nina shida naomba msaada wenu please,
Hivi karibuni nimeamua nami kufuga kuku hapa nyumbani kwangu kwa ajili ya kujiongezea kipato pia hata kula nyumbani. Kwa kua ndio mara yangu ya kwanza kujihusisha na ufugaji wa Kuku basi niliamua kuulizia kwanza wataalam mbalimbali juu ya hii kitu na walinishauri nianze na Jogoo mmoja na Mitetea kama wanne au watano...
Kuku wangu hawatagi, tatizo ni jogoo?