Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Ufugaji wa bata na masoko yake

$
0
0
Habari great thinkers, hivi mbona sijawahi kuona ufugaji mkubwa wa hawa bata wa kienyeji na wala wakipigiwa upatu kama kuku wa kienyeji au kisasa. Ni kwamba hawana soko au lah?. Maana hata mayai ya bata sijawahi ona maali wanauza au kununua kwa udogo wa maeneo nliofika. Nikijikita katika ufugaji wa bata wa kienyeji in a mass si itakua hasara au?. Maoni yenu tafadhali

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>