Quantcast
Channel: Kilimo, Ufugaji na Uvuvi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825

Nina mtaji, nataka kufanya biashara ya cement, ushauri unahitajika

$
0
0
Habari zenu kaka zangu.
Nimesaidiwa mtaji wa biashara wa 5 millions. Na nimefikiria kuitia ktk biashara ya cement. Wakuuu naomba ushauri wenu.
Vp hii biashara ya cement munaionaje upande wa faida na hasara zake. location nzuri ipo. Naomba kujua ni cement ipi nzuri kibiashara yaani yenye maslahi zaidi. Na pia naomba kujua jinsi ya kuitunza isiharibike. Yaani isigande. Pia naomba kujua bei za manunuzi kiwandani hata nyati cement na supaset naona hizo ndio zina soko kwa huku nilipo sumbawanga....

Nina mtaji, nataka kufanya biashara ya cement, ushauri unahitajika

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7825


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>