Wakuu samahani kwa usumbufu Mimi nikijana Mdogo tu nasoma Chuo kimojawapo hapa mwanza,kilichonileta kwenu leo niswala la kutaka kujua kuhusu biashara ya supu ya pweza kwani nataka nifungue banda kwa hapa mwanza usiku niuze supu ya pweza maeneo nitaomba msaada badae pia nitawasilisha Yale niliyo yakusudia mm badae ila kwa sasa naombeni mnisaidie kwa haya machache...
1) upatikanaji wa pweza dar(feli)
2)bei zake
3)utunzaji bila kuharibika
4)nini zaidi nizingatie
5)mengineyo niliyo yasahau...
Biashara ya Pweza Mwanza
1) upatikanaji wa pweza dar(feli)
2)bei zake
3)utunzaji bila kuharibika
4)nini zaidi nizingatie
5)mengineyo niliyo yasahau...
Biashara ya Pweza Mwanza